Washirika

Programu na huduma zilizoangaziwa ambazo zimejumuisha what3words

API yetu ni programu jalizi ya biashara na watu ya kuboresha bidhaa na huduma zao wenyewe kwa kutumia anwani rahisi na sahihi. Duniani, what3words inajumuishwa kwenye programu za uelekezaji, programu za ushirikianaji gari, mifumo ya utaratibu, mwongozo wa usafiri, tovuti za kutafuta raslimali, na zaidi.

Ikiwa ungependa kujumisha what3words kwenye biashara au jukwaa lako, tafadhali tembelea Tovuti yetu ya Waendelezaji programu au wasiliana nasi. Tunatazamia kusikia kutoka kwako na kusaidia biashara yako kutoa njia rahisi ya kuwasiliana eneo. Angalia maelezo zaidi hapo chini kuhusu jinsi washirika wetu wamejumuisha what3words.