Fungua tovuti ya ramani

Tazama utafiti huu

Mercedes-Benz yaanzisha mfumo
wa kwanza duniani wa urambazaji
unaotumia sauti wa anwani ya
maneno 3

Tazama utafiti huu

what3words ina ubia na kampuni kubwa ya usafiri ya Deutsche Bahn

Tazama utafiti huu

Kuupa ulimwengu anwani

what3words ni njia rahisi sana ya kuzungumza kuhusu eneo. Tumegawanya ulimwengu katika miraba ya 3m x 3m na tukaupa kila mraba anwani ya kipekee ya maneno 3. Ina maana kila mtu anaweza kupata eneo lolote kwa usahihi na kulishiriki kwa haraka zaidi, urahisi zaidi na bila matatizo ikilinganishwa na mfumo mwingine wowote.

Huduma hii inaweza kutumiwa kupitia app isiyolipishwa ya vifaa vya mkononi au ramani ya mtandaoni. Inaweza pia kuundwa ndani ya app, jukwaa au tovuti nyingine yoyote, kwa kutumia mistari michache ya msimbo.

Endelea kusoma ili uone jinsi what3words inavyoweza kubadilisha biashara yako.

what3words huwezesha

Pata maelezo kuhusu jinsi ya kutumia what3words katika biashara yako:

By asking us to get in touch you are agreeing to receive communications from us as described in our privacy policy